"Kwa kipindi cha masaa 24 tangu Machi 27, 2020 jumla ya sampuli 26 zimewasilishwa kwa vipimo katika Maabara Kuu ya Taifa Dar es Salaam na zote zimethibitishwa na wataalamu wa maabara kuwa hazina maambukizi (Negative), hivyo mpaka sasa nchi bado ina idadi ya watu 13 waliothibitika kuwa na maambukizi (Positive)."
Source