Thursday, March 26, 2020

Aliyekuwa msemaji wa klabu ya simba kuzikwa leo Dar


Uongozi wa clabu ya simba umepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyewahi kuwa msemaji wake Asha Muhaji kilichotokea siku ya jana katika ospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yatafanyika leo alhamisi saa 10 jioni katika makaburi ya mwinyi mkuu magomeni mapipa.




Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...