Sunday, November 10, 2019
Wizkid, Tiwa Savege Kwenye Ardhi ya Tanzania
Staa wa muziki kutoka Nchini nigeria Ayodeji Ibrahim maarufu kama Wizkid aneyetamba na wimbo wa Joro amethibitisha kuwepo kwenye grand final ya wasafi festival katika viwanja vya posta kijitonyama usiku wa leo Jijini Dar es Salaam.
Staa huyo amethibitisha kupitia insta srory ya ukurasa wake wa instagram kwa kuandika "Tanzania see you"
Kwake ni mara ya pili kuja kutumbiza Tanzania ambapo kwa mara ya kwanza alitumbuiza katika tamasha la Fiesta mwaka 2016 na mwaka 2019 anatumbuiza katika tamasha la wasafi Festival.
Mpenzi mpya wa vanessa mdee aanza kuposti mashemeji
Staa huyo atakamilisha orodha ya mastaa wawili kutoka nchini Nigeria ambapo tayari Tiwa savage ameshawasiri nchini jana usiku kwaajili ya kutumbuiza katika tamasha hilo.
Makala: WCB watembea na PENSELI, jibu la Ali Kiba litawasogeza au kuwavuruga?
Aidha msanii kutoka nchini Congo Innos B anayetamba na wimbo wa Yope aliomshirikisha Diamond Platnumz anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo huku akiungana na wasanii wengine wa bongo fleva.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...