Klabu ya Yanga imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mkuti Marketing katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Boma, wilayani Masasi, Mtwara.
Bao pekee la Mkuti limefungwa na Hassan Mtepeto dakika ya 28.
FT: Mkuti Marketing 1-0 Yanga SC.
