Tuesday, October 22, 2019
Makubwa...Amuua Mwenzake Kwa KISU Wakigombea Kumbikumbi
MURIUNGI KIYOGERE (35), mkazi wa Kaunti ya Tharaka-Nithi nchini Kenya, anadaiwa kumchoma kisu mara nne Daniel Mutiria Cece (36) kutokana na mzozo wa kugombea kumbikumbi Jumapili jioni.
Kamanda wa Polisi wa Tharaka Kusini, Kiprop Rutto, alisema mshukiwa alikimbilia katika Kituo cha Polisi cha Marimanti kuwakwepa wanakijiji waliokuwa wakitaka kumuua.
Mshukiwa alizuiliwa kituoni hapo baada ya kukiri kuua na polisi walipokwenda eneo la tukio walikuta mwili wa Daniel ukiwa umelowa damu.
Inadaiwa wanaume hao walikuwa marafiki wa miaka mingi na kabla ya ugomvi kutokea walikuwa pamoja wakinywa pombe.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...