Mtandao wa US News umeripoti kuwa rapper T.I ni miongoni mwa watu walioteuliwa kwenye masuala ya kuisaidia jamii hasa kwenye masuala ya haki za wafungwa na magereza ya Atlanta nchini Marekani.
Inaelezwa kuwa mji huo umeteua jumla ya watu 25 ambapo inaripotiwa kuwa T.I amekuwa akijishughulisha na masuala ya kupigani haki za makosa ya jinai kwenye mji huo wa Atlanta huku jukumu kubwa la watu walioteuliwa ni kuzisaidia jela za mji huo ambazo uhifadhi watu wanaovunja sheria ndogo ndogo za kanuni za Atlanta.
Inatajwa kuwa kikao cha kwanza kwa ajili ya kushauriana vitu vya kufanya kitafanyika July 16,2019 na mapendekezo watakayokua nayo yatafikishwa kwa Meya wa mji huo Bi Keisha Lance ambapo yatapitiwa na kupitishwa.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...