Sunday, July 7, 2019
Mwanaume Ana Miaka 38 Ana Watoto 35
Mwanaume aitwaye Yuichi Ishii akiwa na miaka 38, ana watoto wengi kuliko mtu mwingine yeyote wa umri wake.
Lakini hutumia takribani saa nne kwa siku kukaa nao, mara kadhaa wiki moja, inategemea na mahitaji ya wateja wake.
Miaka kumi iliyopita, Ishii alianzisha kampuni aliyoiita Family Romance, Kampuni inayokodisha 'familia na marafiki'. Sasa kampuni ina waajiriwa 2,200 ambao hujifanya mababa na mama, binamu, wajomba, mabibi na babu na ndugu wengine bandia.
Umaarufu wa kampuni hiyo na uchangamfu wa mmiliki umekuwa ukikua tangu wakati ilipoanzishwa.
Leo hii Ishii ni "baba"wa watoto 35 na anaiambia BBC anachojisikia kuwa sehemu ya familia 25 tofauti, bila kuwa na mahusiano nao ya kweli.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...