Mbunge wa Viti Maalum anaewakilisha Vijana mkoani Dodoma, Mhe Mariam Ditopile ametekeleza ahadi yake ya kuchimba kisima kwa wananchi wa eneo la Mkoka Jimbo la Kongwa chenye uwezo wa kutoa Lita 25000 kwa saa.
Mhe Ditopile amekabidhi kisima hicho kwa wananchi wa Kongwa mbele ya Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge, Mhe Job Ndugai.
"Niliahidi kuchimba kisima kwenu ndugu zangu wa Kongwa, sisi kama wasaidizi wa Rais Magufuli tunapaswa kuhakikisha tunamsaidia Rais wetu ambaye ameuletea Maendeleo Mkoa wetu wa Dodoma. Tunapaswa kumuunga mkono kwa vitendo katika kuwatumikia wananchi wanyonge ambao Rais wetu amekua akiwapigania kila siku," amesema Mhe Ditopile.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...