Tuesday, July 2, 2019

Daimond Kufanya Jambo Hili Julai 7

Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz katika mkutano na waandishi wa habari wiki iliyopita alitangaza tukio kubwa Julai 7,2019, alilodai litakalofanyika jijini, Dar es salaam.

"Ni kweli siku hiyo kutakuwa na tukio kubwa kwa msanii wetu huyo (Diamond), ambapo ni siku ya kuzaliwa kwa mama yake Sandra na mchumba wake Tanasha Donna ambao wote wamezaliwa Julai 7 kasoro miaka tofauti," amesema Babu Tale.

"Pamoja na kwamba ni siku ya kuzaliwa kwa wapendwa wake hao,  lakini pia lolote linaweza kutokea ikiwemo ndoa ambayo mashabiki wake wengi wanahisi hivyo ila tusubiri muda ndio utakaoongea."
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...