Benki kubwa ya Ujerumani Deutsche Bank inapanga kupunguza wafanyakazi karibu 18,000 kama sehemu ya mpango mkubwa wa marekebisho uliotangazwa na benki hiyo jana Jumapili.
Benki hiyo inataka kufikia mwaka 2022, kuwe na uwiano wa ajira za kudumu zipatazo 74,000 sawa na katika tawi lake la mjini Frankfurt ambapo hatua hiyo itakuwa ni sawa na kupunguza asilimia 20 ya wafanyakazi.
Mpango huo wa marekebisho makubwa ulitangazwa baada ya mkutano wa bodi ya usimamizi ya mjini Frankfurt unatarajiwa kuigharimu benki hiyo, Euro bilioni 7.4.
Deutsche bank inakabiliwa na mgogoro wa kifedha kupata faida wakati kutokana na masharti mapya ya usalama yaliyowekwa, pia inakabiliwa na mzigo mkubwa wa faini kutoka Marekani kutokana na mwenendo wake wakati wa mgogoro wa kifedha.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Deutsche Bank alitangaza mpango huo wa marekebisho kwa mara ya kwanza mnamo mwezi Mei.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...