Sunday, June 23, 2019

Huyu Mpangaji Mpya Ananitakia Nini Mtoto wa Watu, Siwahi Ongea naye zaidi ya Salamu ila Mitego nayoipata Nakaribia Kunasa



Jamani Mitego Mingine ni Shidah ..Kuna dada mpangaji mwezangu hapa kijitonyama amehamia kwenye hii nyumba week ya pili sasa , chumba chake na changu kipo karibu , toka amehamia hatujawahi ongea zaidi ya salamu ila mitego ya khanga ninayoipata mpaka nataka nimrushie maneno mawili matatu ila bado nimuonea haya..

Huyu Dada ni kama Amejua ratiba zangu basi kila asubuhi nikiwa natoka kwenda kazini lazima nimkute nje anafua ama anaosha vyombo kwenye karo akiwa ndani ya khanga moja tena ile nyepesi inayoonyesha mpaka nguo ya ndani..Vile vile jioni nikiwa narudi anajipitisha pitisha hapo nje weee...

Jamani Hii ni Kawaida kwa Wapangaji ama Ndo Naonyeshwa Green Light ?
~Kelvin
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...