Monday, April 1, 2019
Waziri wa Madini ataoa maagizo mazito kwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini
Waziri wa Madini Dotto Biteko amemuagiza Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Prof. Shukrani Manya kuwasimamisha kazi watumishi wote wa sekta ya Madini Chunya kwa tuhuma za udanganyifu.
Akizungumza na wachimbaji wadogo wilayani Chunya, Waziri Biteko amesema watumishi hao 13 wamekuwa wakishiriki katika kukwepa kodi.
Awali Waziri hiyo aliliagiza Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kumsaka mmiliki wa mgodi wa kuchenjua dhahabu, Ntorah Gold & Diamond Investment Co. Ltd baada ya madai ya kutoweka kwa kilo 30 za dhahabu ambazo haziko kwenye kumbukumbu ya vitabu vilivyotolewa na serikali. Tayari msimamizi wa mgodi huo aliyefahamika kwa jina moja la Mussa ametiwa mbaroni.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...