Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiendelea na ziara yake mkoani Mtwara amesema kuwa anaunga mkono kile alichosikia ni kutengenezwa kwa juisi ya korosho
Ameeleza hayo katika hafla ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Mtwara ,Newala -Masasi Km 210 Sehemu ya Mtwara -Mnivata Km 50.
"Nimeambiwa mnafanya utafiti wa kutengeneza juisi kutoka kwenye korosho, kama ni divai ya korosho itengenezwe,kama ni gongo ambayo ni spesho itengenezeni iliyopimwa, kwasababu hata hizi pombe kali nazo si gongo sema imepimwa... anayetaka kulewa kwa dakika mbili alewe," amesema Rais Magufuli
Amendelea kwa kusema, 'Huwezi serikali ikanunua korosho kwa kilo 3500 halafu ianze kulipia tena kodi kwenye Halmashauri ambayo ilishindwa kununua korosho,kwa hiyo hakuna ushuru wa Halmashauri ,hata senti tano hampati, mkitaka ushuru simamieni vizuri'.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...