Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameunda mahakama maalumu kuchunguza mienendo ya jaji wa mahakama ya juu zaidi nchini Kenya Jaji Jackton Ojwang. Katika taarifa yake maalumu iliyotolewa jana katika Gazette maalumu, Uhuru alisema kuwa kuondolewa mamlakani kwa jaji huyo kutategemea matokeo ya uchunguzi wa mahakama. Kwa mujibu wa BBC. Jopo la mahakama hiyo linaongozwa na …
The post Rais Kenyatta aeleza sababu ya kuunda mahakama maalumu, ya kuchunguza mienendo ya jaji wa mahakama ya juu zaidi nchini Kenya bwana Jackton Ojwang. appeared first on Bongo5.com.
Source