Tuesday, March 12, 2019

Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo

Hivi sasa wanafunzi wa Shule za Sekondari huenda wakapata afueni ya kuelewa vitabu vya fasihi  baada ya kuwekwa katika sanaa ya maonyesho ya jukwaani yale yaliyoandikwa ndani yake. Hayo yamebainika katika Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu katika ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), ambapo jana Jumatatu Machi 11, 2019 wanafunzi kutoka shule …

The post Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...