Monday, March 25, 2019

Rais Magufuli awataka mashabiki wa Simba na Yanga waungane, atoa zawadi nono kwa Taifa Stars na Mwakinyo (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli amewataka mashabiki wa timu za Simba na Yanga waungane na kushangilia pindi timu hizo zinapocheza michezo ya kimataifa. Rais Magufuli Rais Magufuli ameyasema hayo leo Machi 25, 2019 Ikulu Jijini Dar Es Salaam, kwenye hafla ya kuwapongeza wachezaji wa Taifa Stars na Bondia Hassan …

The post Rais Magufuli awataka mashabiki wa Simba na Yanga waungane, atoa zawadi nono kwa Taifa Stars na Mwakinyo (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...