Friday, March 15, 2019

Mke wa Ludacris akunwa na wimbo wa Rich Mavoko aliyomshirikisha Patoranking ‘Rudi’ (+ Video)

Wimbo wa ‘Rudi’ wa Rich Mavoko ambao alimshirikisha msanii kutoka Nigeria Patoranking imemfikia mke wa msanii nyota wa Marekani ambae pia ni msanii na muigizaji Ludacris. Mwanamama anayejulikana kwa jina la Eudoxie Mbouguiengue ambaye kupitia insta stories yake ameonekana akiimba wimbo huo uliotoka November 1, 2017. Eudoxie ni raia wa Gabon na alifunga ndoa Ludacris …

The post Mke wa Ludacris akunwa na wimbo wa Rich Mavoko aliyomshirikisha Patoranking ‘Rudi’ (+ Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...