Thursday, March 7, 2019

Kipigo cha PSG dhidi ya Man United chamchanganya Neymar

Man United imefanikiwa kupindua matokeo ugenini kwa kuichapa PSG mabao 3-1 na kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 3-3 Man United ikinufaika kwa faida ya kuwa na magoli mengi ya ugenini. Kwenye mchezo wa Jumatano hii, mabao ya Man United yamefungwa Lukaku dakika ya 2 na 30 …

The post Kipigo cha PSG dhidi ya Man United chamchanganya Neymar appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...