Friday, March 8, 2019

Furaha ya ushindi yamfanya Ole Gunnar Solskjaer kukata mitaa kupeleka koti lake kwa dobi, ni lile alilolivaa dhidi PSG

Katika hali isiyokuwa ya kaiwadi kwa watu wenye hadhi na umaarufu mkubwa kupeleka wenyewe nguo zao kwa dobi ‘dry cleaners’, hali hiyo imejitokeza kwa kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer akionekana kukata mitaa huku akiwa ameshikilia koti lake alilovaa hapo jana usiku wakiti akiisambaratisha Paris Saint-Germain pasipo watu kuamini. Akiwa mwenye furaha usoni huku …

The post Furaha ya ushindi yamfanya Ole Gunnar Solskjaer kukata mitaa kupeleka koti lake kwa dobi, ni lile alilolivaa dhidi PSG appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...