Friday, March 15, 2019

DROO YA UEFA: Man United uso kwa uso na Barcelona, tazama ratiba yote hadi mchezo wa fainali

Leo mchana droo ya robo fainali ya Klabu bingwa barani Ulaya imepangwa, ambapo klabu ya Manchester United ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Hispania kwenye hatua hiyo. Man United ndio wakaoanzia nyumbani Old Trafford kati ya tarehe 9/10 Aprili 2019. Tazama droo yote hapa chini Droo hiyo, pia imepangwa na hatua ya nusu fainali ya …

The post DROO YA UEFA: Man United uso kwa uso na Barcelona, tazama ratiba yote hadi mchezo wa fainali appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...