Saturday, March 16, 2019

DPP afuta kesi ya mauaji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara wa Tabora kwa madai alibambikiwa

Mkurugenzi wa mashtaka nchini Biswalo Mganga amefuta kesi namba 8/2018 ya mauaji ya Jackson Thomas iliyokuwa ikiendelea kwenye mahakama ya Tabora baada ya kubaini watuhumiwa Mussa Adam Sadick na Edward Matiku Nduli walibambikiwa mashtaka hayo kinyume cha sheria. Hatua hiyo inafikiwa baada ya mmoja wa watuhumiwa Mussa Adam Sadick kuandika barua ya wazi na kuomba …

The post DPP afuta kesi ya mauaji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara wa Tabora kwa madai alibambikiwa appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...