Tuesday, March 26, 2019

Conor McGregor atangaza kustaafu ngumi, Rais wa UFC Dana White na mashabiki wa MMA washtushwa na taarifa hizo

Conor McGregor ametangaza kustaafu kupambana kwenye mapambano ya UFC. Bondia huyo wa MMA (21-4 MMA, 9-2 UFC) mwenye umri wa miaka 30, hata hivyo yupo kwenye adhabu baada ya kusababisha vurugu kwenye pambano la Nevada State Athletic Commission UFC 229 dhidi ya Khabib Nurmagomedov. Kupitia akaunti yake ya Twitter, mpambanaji huyo anayetumia viungo vyote ndani ya ulingo …

The post Conor McGregor atangaza kustaafu ngumi, Rais wa UFC Dana White na mashabiki wa MMA washtushwa na taarifa hizo appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...