Sunday, March 24, 2019

BREAKING: Baada ya miaka 39, hatimaye Tanzania yafuzu AFCON 2019 kwa kishindo dhidi ya Uganda

Taifa Stars imefanikiwa kufuzu Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kwa mara ya pili ikiwa ni maka 39 imepita tangu iingie kwenye michuano hiyo. Taifa Stars imefuzu kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Uganda, ambapo Matokeo mengine Lesotho imetoa sare ya 0-0 dhidi ya Cape Verde.

The post BREAKING: Baada ya miaka 39, hatimaye Tanzania yafuzu AFCON 2019 kwa kishindo dhidi ya Uganda appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...