Tuesday, March 12, 2019

Aliyekuwa kocha wa Man U, Van Gaal atangaza kustaafu

Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Lous Van Gaal ametangaza kustaafu kufundisha mpira akiwa na umri wa miaka 65. Kocha huyo raia wa Uholanzi, aliacha kuifundisha Man U mwaka 2016 ambapo alitamka mbele ya waandishi wa habari kwamba hiyo ndio itakuwa timu yake ya mwisho kuifundisha. "I am a pensioner now. I have no ambition to …

The post Aliyekuwa kocha wa Man U, Van Gaal atangaza kustaafu appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...