Watu wawili mkoani Tabora wametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kutengeneza Fedha Bandia na kutapeli wananchi. Akifafanua na kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo, kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema kuwa. Watuhumiwa hao wawili wamekamatwa jana Tarehe 06/02/2018 baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mwananchi aitwaye Daudi Jafet Mfanyabiashara kutoka …
The post Watengeneza fedha bandia wawili wanaswa na Polisi, watuhumiwa kutapeli Mil. 20 (+video) appeared first on Bongo5.com.
Source