Wednesday, February 20, 2019

Watanzania walaani mtu aliyedukua akaunti ya Insta ya marehemu Godzilla

Ikiwa hata wiki moja bado haijaisha toka mazishi ya rapa Godzilla yapite, Watanzania wasio waungwana wamedukua akaunti ya Insta ya marehemu za kuanza kuitumia kibiashara. Watanzania amesikitishwa na kitendo hicho huku akizitaka mamlaka za serikali kama TCRA kufuatia suala hilo na kuchukua hatu. Rapa Fid Q baada ya kupokea taarifa ya kudukiwa kwa akaunti hiyo …

The post Watanzania walaani mtu aliyedukua akaunti ya Insta ya marehemu Godzilla appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...