Friday, February 8, 2019

VIDEO: Vita ya ukeketaji, wananchi kuhusishwa kuwatajwa wahusika

Serikali ya Tanzania,Mashirika na taasisi binafsi zimeendelea kupinga vitendo vya uzalilishaji kwa wanawake na watoto ikiwemo ukeketaji lakini katika mkoa wa Manyara bado inaonekana kuwa ni changamoto kwani baadhi ya jamii bado zinafanyia watoto na wanawake Ukeketaji. Kitaifa Manyara inaongoza kwa asilimia 58 tangu mwaka 2013 hadi sasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...