Friday, February 8, 2019

VIDEO: Salum Mwalimu Alipongeza Bunge, aweka wazi Tofauti ya Azimio la Zanzibar na UKAWA


Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Salum Mwalim, amelipongeza bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikisha vyama vyote kuhusu mswaada vyama vya siasa ambao tayari umeshapitishwa bungeni na kusubiri kutiwa saini na Rais Magufuli ili kuwa sheria.

Vile vile ameomba spika kabla ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuweka saini, wangeomba kupata nyaraka hizo ili wajue nini kitakachosainiwa.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....... USISAHAU KUSUBSCRIBE.........

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...