Sunday, February 3, 2019
Sababu halisi inayokufanya uwe na uchovu kila wakati
Kutopata usingizi wa kutosha ni moja ya sababu inayoweza changia uchovu, ila uchovu wa mara kwa mara na kujiona umetumika ilhali umepata usingizi wa kutosha inakera. , hii imekuwa ni hali ya kawaida kwa wengi wetu , ila sio hali ya kawaida, na kwsababu kadhaa au pengine za kihisia.
Matibabu
Kupuuzia maumivu au dalili za maradhi ni kitu kibaya, kwani yaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa, upungufu wa damu au tezi, yaweza kuwa tatizo la kawaida , ila uchovu ni moja ya dalili ya baadhi ya magojwa mengine, kama kisukari. kama umekuwa ukijsikia uchovu kwa zaidi ya wiki mbili, nenda kamuone daktari kwa ajili ya chekap, kama hamna la zaidi tuliza mwili na akili yako
Mpangilio wa chakula
Chakula ni mafuta ya miili yetu kwa hiyo kama hatupati chakula cha kutosha, nguvu ya miili yetu hupungua, ila inaweza sababishwa na kitu chocote, yaweza kuwa diet ya kupitiliza, au kula vyakula ambavyo havitukubali., ila umeshindwa kuvishtukia, kama unataka kupunguza uzito, hakiksha unafanya hivyo kwa taratibu, kiafya , weak kumbukumbu ya chakula unavyokula ambayo utamuonesha daktari wako, hii yaweza saidia kutambua kama kuna vyakula vinavyo kudhuru.
Uzito wako
Kama una uzito mkubwa, hii yaweza changia uchovu wa mara kwa mara, kwa sababu mwili wako, utahitaji kutumia nguvu ya ziada, kuuhimili.hupelekea uzito wa ziada kwenye viungo vyako, moyo na mapafu, na kuwa na uzito mkubwa napo huumanisha misuli yako inakazi ya ziada
Mashaka na msongo wa mawazo
Usingizi unachangiwa kwa kiasi kikubwa na afya ya aklii, mashaka, na mishipa ya fahamu yaweza changia kukosa usingizi insomnia, kitu ambacho baada ya muda, yaweza kuwa sugu na kukuwacha mwenye kudhoofika. kama una msongo wa mawazo kujikuta ni mwenye kulala kila waakati, napo ukaendelea kuwa mwenye uchovu mwenye kuw a hali hii ikijitokeza kwa muda mrefu basi ni busara kuomba msaada
Tungi
Pombe yaweza saidia kupata usingizi, ila ni mbaya kutumia kama chanzo cha kupatia usingizi, haitatui mzizi wa chanzao wa tatizo lenyewe., vile vile pombe za kupitiliza yaweza kupelekea kushtuka katikati ya usiku wa manane, na hatimaye kuwa na usingizi wa mashaka na watabu, kwa hiyo kunywa mara tu kabla ya kulala ni mbaya kiafya
Maji
Ni Moja ya sababu inayowapeleka wanawake wengi kujikuta wakipigana na uchovu. jaribu kunywa maji megni unapoamka, japo glasi mbili kila unapopata msosi, yaweza kuleta utofauti, pata chai na juice katika kila hatua ya siku yako, hii itakuongezea kiwango cha nguvu zako
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...