Friday, February 15, 2019

R Kelly kukamatwa muda wowote baada ya upelelezi wa kashfa ya ngono kukamilika

Mkali wa muziki wa RnB kutoka Marekani, R Kelly anategemewa kukamatwa muda wowote sasa baada ya wapelelezi kupata mkanda wa ngono unaosadikika kumuonyesha staa huyu akifanya matendo ya ngono na binti mwenye umri wa miaka 14.  Mwanasheria Michael Avenatti ameiamba CNN kuwa ameuona mkanda huo, unamuonyesha R Kelly akiwa na binti ambaye mwili wake unaonekana …

The post R Kelly kukamatwa muda wowote baada ya upelelezi wa kashfa ya ngono kukamilika appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...