Wagonjwa nchini Kenya wameanza kujawa na hofu baada ya wauguzi kuapa kuendelea na mpango wao wa kutekeleza mgomo au kuanzia leo Jumatatu. Kwa mujibu wa BBC, Katibu mkuu wa Muungano wa wauguzi nchini kenya Seth Panyako alisema siku ya Jumamosi kuwa iwapo mahitaji yao ya kurudi kazini hayataangaziwa, basi hawatakuwa na chaguo jingine bali kufanya …
The post Hiki ndio kilichowapelekea Wauguzi nchini Kenya kuapa kuendeleza mgomo wao kuanzia leo appeared first on Bongo5.com.
Source