Tuesday, November 13, 2018

VIDEO: Rais Magufuli Afunguka Sababu zilizopelekea Kumtumbua Mwijage na Tizeba


Rais Magufuli leo Novemba 12, 2018 akiwa Ikulu kwenye amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kumtumbua aliyekuwa  Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage.

VIDEO:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...