Beki wa klabu ya Simba, Shomari kapombe amewashukuru wa Tanzania kwa ujumla kumuombea na kusema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri katika matibabu yake nchini Afrika Kusini. Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Kapombe ameandika kwa kuelezea namna anavyoendela. Nachukua nafasi hii kutoa shukrani nying kwa w2 wwt waliokuwa wakiniombea tangu nilipopata majeraha na hali …
The post Shomari kapombe afunguka kuhusu hali yake inavyoendelea kwa sasa appeared first on Bongo5.com.
Source