Baada ya Kutua nchini Tanzania mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu Samuel Eto'o ambae amecheza katika timu mbali mbali ikiwemo Barcelona, Intermillan, Chelsea, Everton n.k ambapo kwa sasa anachezea timu ya Qatar SC, ametaja mambo takribani matatu ambayo yanachangia soka na kutoa ushari mkubwa licha ya kuwepo kwa changamoto kubwa ya umasikini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE...........
Source