Sunday, October 21, 2018

VIDEO: RASMI! Mwenyekiti wa CHADEMA Apokelewa Kwa Shangwe, Afunguka Alivyomkimbia Mbowe


Aliyekua Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Temeke na pia Diwani wa Kata ya Mtoni, Benard Mwakyembe amesema hakuna kiasi chochote cha fedha alicholipwa ili kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...