Ayekuwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, Benard Mwakyembe leo Jumapili Oktoba 21 jijini Dar es salaam amekabidhiwa rasmi kadi ya CCM baada ya kukihama chama chame na kuahidi kuilinda CCM na kupambana na yeyote atakayemgusa Rais Magufuli.
The post VIDEO: Nitapambana na yeyote atakayemgusa Rais Magufuli, upinzani watanikoma- Mwakyembe appeared first on Bongo5.com.
Source