Tuesday, October 23, 2018

Tahadhari yatolewa kwa watu wanaotaka kusafiri wiki hii kwa njia ya maji

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi na wanaotumia usafiri wa majini kufuatia kuwapo kwa upepo mkali katika mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara, Dar Es Salaam, Mwanza, Kigoma, Rukwa, Ruvuma, Geita, Simiyu, Mbeya, Njombe pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. Taarifa iliyotolewa jana usiku na kituo kikuu cha utabiri cha …

The post Tahadhari yatolewa kwa watu wanaotaka kusafiri wiki hii kwa njia ya maji appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...