Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.
Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.
Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.
Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.
Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.
Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikatam an dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)
sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.
Raq
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
