Uongozi wa Mbudya umefunguka kwa mara ya kwanza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayopatika kisiwani huko pamoja na matukio ya ajali, vitu ambavyo hupaswi kufanya, ajali ya Ben Pol, kifo cha Pancho, Makaburi mawili yanayopatikana kisiwani humo pamoja na vivutio vingine vya utalii.
The post Ripoti: Uongozi wa Mbudya wafunguka, kifo cha Pancho, ajali ya Ben Pol, makaburi ya miaka 200, masharti na mengine (Video) appeared first on Bongo5.com.
Source