Mchekeshaji maarufu nchini bwana Lucas Mhuvile alimaarufu Joti amefunguka na kuelezea sababu ya kipindi cha vichekesho ambacho walikuwa wanakifanya kila siku ya jumapili wakiungana wasanii sita kukaa kimya. Mchekeshaji huyo amefunguka wakati anapiga stori na Bongo five siku ya uzinduzi wa vichekesho ambavyo vimerejea kwa sasa ikiwa ni msimu wa pili vinavyojulikana kwa jina la …
The post Joti afunguka na kutaja muda wa kurejea tena Comedy Show baada ya kupotea kwa muda (+Video) appeared first on Bongo5.com.
Source