Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba amefunguka mengi sana kuhusiana na muziki wake lakini pia kuhusiana na maisha yake kwa ujumla na kufunguka kwa kusema kuwa ” naumia sana ninapoona watu wanaitukana familia yangu kiukweli sio kitu kizuri” By Ally Juma.
The post Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” appeared first on Bongo5.com.
Source