Afya ya nguli wa soka wa Argentina, Diego Maradona imeonekana kutia mashaka baada ya kuenea kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kinacho muonyesha gwiji huyo akitembea kwashida wakati wa mazoezi ya timu yake. Maradona está de regreso con @Dorados.@ESPNmx pic.twitter.com/NaalF4OY16 — Iván Elenes (@Ivan_Elenes) October 17, 2018 Kwa mujibu wa mwanasheria wa Maradona …
The post Afya ya Diego Maradona yatia wasiwasi appeared first on Bongo5.com.
Source