Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania Faustina Charles Mfinanga alimaarufu Nandy amefunguka mwanzo mwisho kuhusu malengo yake ya kuachana na mziki na kuhamishia nguvu zake kwenye biashara
Nandy ameongea hayo leo katika kituo cha habari cha Clouds Fm kwenye kipindi cha Leo tena na kusema kuwa Bado miaka mitatu kuachana na muziki " Mimi katika ndoto zangu ni kuwa mfanya biashara mkubwa sana na hata naanza kufanya muziki nilijiwekea malengo baada ya miaka mitano nitaacha muziki na niendeleze biashara zangu na hadi sasa nimeitumia miaka miwili tu 2016,na 2017 na mwaka 2020 ndio nitaacha muziki na sio kuwa nitakuwa sitoi ngoma hapana nitakuwa natoa ila kwa mwaka hata mara moja pia kuhusu show naweza kuwa nafanya kwa mwaka mara moja ili nipate muda wa kusimamia baishara zangu"
Nandy ni kati ya wanamuziki wa kike kutoka Tanzania wanao fanya vizuri kwa sasa akitambulishwa na ngoma yake ya Ninogeshe.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...