Wednesday, September 5, 2018

Matukio ya Instagram Yamchosha Steve Nyerere Amuomba Rais Magufuli Aizime

Matukio ya Instagram Yamchosha Steve Nyerere Amuomba Rais Magufuli Afunge Mitandao ya Kijamii
Msanii wa filamu za kibongo Steve Nyerere amejikuta akimuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimtaka afunge mtandao wa instagram kwakuwa watanzania utandawazi.

Steve nyerere ameonekana kukerwa na yanayoendelea mitandaoni kwakuwa vijana na baadhi ya watanzania wameacha kufanya kazi za maana kwaajili ya kuleta maendeleo ya nchi bali wamekalia umbeya na majungu ya kuchafuana mitandaoni.

Kupitia mtandao wake wa kijamii steve ameandika maneno haya;
''MH RAIS MAGUFULI hakika unapenda kuona vijana wanakuwa nguvu KAZI kwa TAIFA lao,Naamini vijana wa kitanzania wakijua kuwa wana deni na TANZANIA basi watabadilika kitabia , TAIFA letu la TANZANIA lina kila sababu ya kumshukuru MUNGU,maana tumebarikiwa vingi ambavyo wenzetu hawana,Mh karne hii inaangamia kwa utandawazi tu Zimaaaaa BABA japo wiki Zimaaaaa BABA uku istagram amna cha kujifunza zimaaa baba ni shidaaa uku.Zimaaaaaa baba japo wiki BABA zimaaaaaaaa''.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...