George Tawlon Manneh Oppong Ousman Weah alimaarufu George Weah Rais wa 25 katika taifa la Liberia,katika karia yake aliwahi kucheza mpira wa kimataifa ambapo alivitumikia zaidi ya vilabu 12 barani Afrika pia barani Ulaya. Weah ndio mchezaji pekee kutoka katika bara la Afrika kuwahi kushinda tuzo ya mwanasoka bora duniani alimaarufu Ballon d’or mnamo mwaka …
The post Hivi ndivyo Rais wa Liberia George Weah alivyoistaafisha Jezi yake katika mtanange huu appeared first on Bongo5.com.
Source