Thursday, August 16, 2018

VIDEO: Lipumba atua ngome ya Maalim Seif


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF anayetambuliwa na msali wa vyama nchini Prof. Ibrahim Lipumba ametua Zanzibar kukutana na wanachama wa chama hicho  ambapo atafanya mkutano mkubwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...