Friday, August 24, 2018

Video: Dada wa Rich Mavoko afunguka ‘sio lazima Mavoko awe WCB na hawezi shuka’

Dada wa Rich Mavoko, Dokii amefunguka kwa kudai kwamba hakuna kitu ambacho kitamfelisha Rich Mavoko hata kama akiondoka WCB. Dokii ambaye ni mtangazaji wa EFM, amedai kitu ambacho kitaweza kumsaidia muimbaji huyo ni kufanya kazi kwa bidii.

The post Video: Dada wa Rich Mavoko afunguka ‘sio lazima Mavoko awe WCB na hawezi shuka’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...