Saturday, August 25, 2018

Video: Bongo5 ilivyotua ofisi za RockStar 4000 sakata la Ommy Dimpoz kuumwa!

Mapema jioni ya leo mtandao wa Bongo5 ulifika ofisi za RockStar4000 zilizopo Masaki jijini Dar es salama kwaajili ya kujua taarifa kuhusu Ommy Dimpoz lakini ulishindwa kuonana na ugongozi wa label hiyo . Hata hivyo kwa mujibu wa Mwananchi Digital ambao wamezungumza na meneja wa muimbaji huyo, Seven Mosha wamedai sio kweli Ommy Dimpoz amelazwa …

The post Video: Bongo5 ilivyotua ofisi za RockStar 4000 sakata la Ommy Dimpoz kuumwa! appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...