Tuesday, August 14, 2018

Video: Alikiba aishushia neema Coastal Union ‘nimekuwa mdhamini mkuu kupitia kinywaji changu cha Mo Faya’

Mwanamuziki wa Bongo na mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Alikiba amekuwa rasmi mdhamini mkuu wa timu hiyo kupitia kinywaji chake cha Mo Faya.   Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu Alikiba na Coastal: Mkataba, namba ya jezi, mchezo wake wakwanza na muziki (video) Kupitia mahojiano yake na Azam Tv msanii huyo anayetamba na kibao cha Mvumo wa …

The post Video: Alikiba aishushia neema Coastal Union ‘nimekuwa mdhamini mkuu kupitia kinywaji changu cha Mo Faya’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...