Saturday, August 18, 2018

Usain Bolt kuitumikia klabu ya Central Coast Mariners

Mwanariadha anaeaminika kuwa na kasi zaidi duniani, Usain Bolt ametua jijini Sydney  nchini Australia asubuhi ya leo tayari kwaajili ya majaribio kabla ya kujiunga na klabu ya Central Coast Mariners. Bolt amedhamiria kweli kutimiza ndoto zake katika mchezo wa soka baada ya kutua Sydney kukamilisha dili hilo ndani ya timu ya Central Coast Mariners inayoshiriki A-League ya nchini Australia. Bingwa …

The post Usain Bolt kuitumikia klabu ya Central Coast Mariners appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...